Hili ndio Gari Jipya la Diamond Platnumz


Katika Interview mbili nime wai kumsikia Diamnd akisema "kama ninafanya kazi kwa bidii lazima niishi kwenye Maisha mazuri, pia nipate viyu vizuri ninavyo vitaka"
kwa hii picha ya Diamond aliyopost kwenye Instagram labla ndio anaendelea kutimiza ndoto zake japo hakuandika chcochote na kuweka gari hili lisilo na Namba,huku mashabiki wakianza kumpongeza
Hili ndio Gari Jipya la Diamond Platnumz Hili ndio Gari Jipya la Diamond Platnumz Reviewed by CapchaMuzic on 01:08:00 Rating: 5
Powered by Blogger.