Dimpoz; Diamond Amepotea Maboya!
Katika kile kinachoashiria ni kunogewa na joto la mahaba,Mwanamuziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo'Ommy Dimpoz'nadaiwa kuanza kumcheka swahiba wake Diamond Platnumz kwa kishindwa "kumpetipeti" na kumtumia ipasavyo aliekuwa mpenzi wake Wema Sepetu.

"Inawezekana kwamba wapo katika project lakini ukweli ni kwamba Wema anamtawala Dimpoz akilini,mazungumzo yake ni kuhusu Wema na anadai kuwa Diamondamepotea maboya kuachana na Wema kwani nyota ya Wema haizuiliki hata kwa radi".alisema rafiki huyo. Hii ni kwamujibu wa gazeti la KIU
Dimpoz; Diamond Amepotea Maboya!
Reviewed by CapchaMuzic
on
22:25:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
22:25:00
Rating: