Amboni Tanga~ Askari Polisi wapambana na Magaidi wenye Silaha za moto;JWTZ walatimika kusaidia

Kuna taarifa nimezipata muda sio mrefu zinasema polisi wanarushiana risasi na watu wanaosadikika kuwa ni magaidi....Inasemekana walienda kumkomboa mwenzano aliyekamatwa na polisi.Polisi watatu wamejeruhiwa na wameomba msaada toka JWATZ
aarifa hamili zitakujia hivi punde
Amboni Tanga~ Askari Polisi wapambana na Magaidi wenye Silaha za moto;JWTZ walatimika kusaidia
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:06:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:06:00
Rating: