Alichokisema Ally Kiba kuhusu Kufanya Kolabo na Diamond na Chris brown
Alikiba amesema anaweza kumshirikisha Diamond kama tu akipata bwimbo unaomfaa msanii huyo
"Ngoja nikwambie ukweli,sidhani kama ninaweza kuja kufanya kolabo na Diamond ila nikipata wimbo ambao nadhani kwamba anastahili kuwapo,kiukweli nitamshirikisha lakini kama hatastahili haitawezekana." Alikiba aliliambia gazeti moja la kila siku

Kwa upande mwingine akijibu swali la kama ana mpango wa kuja kumshirikisha staa wa Marekani Chris Brown alisema "Uwezekano upo kwa sababu kila kitu ni mipango kwa hiyo naweza kufanya kolabo na wasanii wa kimataifa na mashabiki watarajie hivyo"
Alichokisema Ally Kiba kuhusu Kufanya Kolabo na Diamond na Chris brown
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:38:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:38:00
Rating: