Wema Sepetu Apigiwa Magoti na Gazeti la Mtanzania na Kuombwa Msamaha
“Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22,
mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema
Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi
tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia
kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii.
Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake.
Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya
habari za weledi na haki kwa jamii”. Mwisho wa kunukuu
Kitendo cha kumuomba msahani mwanadada Wema ni kitendo cha kiungwana pongezi kwenu Mtanzania natumai Wema kwa uungwana wake atawaelewa
Kitendo cha kumuomba msahani mwanadada Wema ni kitendo cha kiungwana pongezi kwenu Mtanzania natumai Wema kwa uungwana wake atawaelewa
Wema Sepetu Apigiwa Magoti na Gazeti la Mtanzania na Kuombwa Msamaha
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:39:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:39:00
Rating: