UNAMJUA KIJANA HANDSOME ZAIDI DUNIANI NA BINTI MZURI ZAIDI DUNIANI.?? WATAZAME HAPA
anaitwa Queen Fatima Zohar-Godabari wa Saudi Arabia inasemekana yeye ndiye mwanamke mzuri zaidi duniani kwa mwaka huu wa 2013.
Fatima Zohar-Godabari ambaye kwasasa ni malkia wa Saudi Arabia alikuwa
akivaa hijabu muda wote kama wafanyavyo wanawake wakiislamu kiasi cha
kufunika uso wake masaa yote lakini siku moja alipigwa picha akiwa
hajajifunikana usoni napicha hiyo ilipostiwa katika mitandao na magazeti
ndipo watu walipodai hakika ni mwanamke mzuri zaidi na
kumpelekeakuwahuru kupiga picha pasipo kujifunika usoni.
Tizama picha zake hapa











Upande mwingine inasemekana kwamba kijana Omar Borkan Al Gala ndiye kijana handsome zaidi kuliko wote duniani kwa mwaka huu wa 2013..Omar Borkan Al Gala ambaye ni mwigizaji napi ni mwanamitindo alifukuzwa huko Saudi Arabia kutokana na mvuto aliokuwa nao.
Tizama Picha zake hapa.






Je Unadhani watu hawa wawili wanastahili sifa hizo???
UNAMJUA KIJANA HANDSOME ZAIDI DUNIANI NA BINTI MZURI ZAIDI DUNIANI.?? WATAZAME HAPA
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:42:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:42:00
Rating: