Mwanamuziki Diamond Amwaga Pesa Kwa Mashabiki wake Jukwaani Tamasha la Tigo Kiboko yao
Show ya kiboko yao jana ilikuwa ni vita nyingine kati ya Kiba vs Diamond
vituko kadhaa vilijitokeza ikiwemo Diamond Kugawa kwa Kurusha Pesa kwa
Mashabiki kitendo ambacho wengine wamekichukilia kama matumizi mabaya ya
pesa kwa kuwaig a wanamuziki wa Marekani, Pia wengine wamechukulia
kitendo hicho kuwa alikifanya ili kuzima watu midomo asizomewe.
Je wewe unachukuliaje kitendo hicho cha kumwaga pesa kwa mashabiki?
Mwanamuziki Diamond Amwaga Pesa Kwa Mashabiki wake Jukwaani Tamasha la Tigo Kiboko yao
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:39:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:39:00
Rating: