Mtangazaji Jerry Murro Kuzua Balaa Jipya Mjini kuja na Documentary inayoonyesha Jinsi Bishara ya Madawa ya Kulevya inavyofanyika Nchini
Baada ya kutoa documentary ya mgogoro wa ardhi Loliondo ikaleta utata,
sasa kutoa ya pili. Na baada ya hapo atakuja na documentary ya kuonyesha
jinsi biashara ya madawa inavyofanyika nchini, atakuja na yale majina
aliyo nayo rais kikwete. Ameyasema hayo asubuhi alipokuwa katika kipindi
cha asubuhi kinachorushwa live Clouds 360 clouds tv. Akiongea kwa jazba
amesema haogopi yeyote na amejitoa mhanga.
Mtangazaji Jerry Murro Kuzua Balaa Jipya Mjini kuja na Documentary inayoonyesha Jinsi Bishara ya Madawa ya Kulevya inavyofanyika Nchini
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:43:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:43:00
Rating: