Kuwa Staa Raha Sana:Nimekuweke Video aliyotumiwa Diamond ya Nusu Uchi na Mrembo wa Kenya akimtaka Amchukukue yeye bila Malipo
Unaukumbuka Wimbo wa Diamond Platnumz alioimba "Ntampata wapi ??""...Unaambiwa mabinti kibao wameanza kujigonga kwake kutokana na wimbo huo.
Mrembo
na Mwanamitindo anayeitwa Tiara , Mwenye Umri wa Miaka 23 toka nchini
Kenya amemtaka Diamond aende nchini Kenya kumchukua tena bila
malipo yoyote....
Tiara amedai yeye ana vigezo vyote anavyovitaka Diamond Platnumz. Kama ni Sura ya mtaratibu ,
Macho ya Aibu na umbo Mahabibu anavyoooo...!!!!!
Angalia Video hapo chini ujionee Mambo Matamu aliyotumiwa Diamond Platnumz na Tiara Kutoka Kenya..Zari Upo ? Ongeza Utundu mama.
Tazama Video hapo chini:
Angalia Video hapo chini ujionee Mambo Matamu aliyotumiwa Diamond Platnumz na Tiara Kutoka Kenya..Zari Upo ? Ongeza Utundu mama.
Tazama Video hapo chini:
Kuwa Staa Raha Sana:Nimekuweke Video aliyotumiwa Diamond ya Nusu Uchi na Mrembo wa Kenya akimtaka Amchukukue yeye bila Malipo
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:49:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:49:00
Rating: