JE WAJUA KUHONGWA KWA MWANAMKE NI HAKI YAKE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU?
Na
wao kwa kutokufahamu au kutokana na pressure kutoka kwa wanaume ya
kuogopa kusemwa vibaya tumepachikwa majina na kuanza kuitwa Mabuzi,ATM
n.k lakini ukweli wa mambo ulishawekwa/ulishapangwa bayana na Mkuu wa
viumbe vyote,Muumbaji (Creator),Mwanasheria Mkuu,Mtabiri Mkuu
Mwenyezimungu by the way dini zote uumbaji na mwanzo wa binadamu unatoa
maelezo yanayofanana(katika andishi langu napenda nitumie reference ya
biblia)
Mwenyezimungu aliitoa amri hii ukisoma Biblia
GENESIS(MWANZO) aya 3:1-24 hapo ndipo utabiri na utaratibu wa miasha ya
binadamu ,ulipangwa upya mara baada ya Hawa kushawishiwa na
Nyoka(shetani) kula mti wa tunda la katikati naye akamgawia Adam ale pia
, ndipo walipoanza kujua mema na mabaya katika bustani ya Eden
Nanukuu
katika aya ya 3 mstari wa 16 GENESIS(mwanzo) 3:16 mwenyezimungu anatoa
assignment/task “Akamwambia mwanamke hakika nitakuzidishia uchungu
wako,na kuzaa kwako,kwa uchungu utazaa watoto na tamaa yako itakua kwa
mumeo,naye atakutawala” -(kumbuka wenzetu hawajawahi kulalamika hata
siku moja kuhusu kusaidiwa uchungu,kuzaa na tunawatawala they know its
NATURE/amri kutoka kwa Mwenyezimungu)NB;mtawala siku zote ndo mpangaji
wa mambo yote refer serikali katika suala la budget ,budget kama
haitoshi/finyu wananchi watalalamika bila kujua fedha utapata vipi?
Ndipo
anapomgeukia Mwanaume na kumpa adhabu/assignment-basic task(ambayo
wengi wetu tunalalamika) yake Genesis(mwanzo) 3; 17-19 “akamwambia Adamu
kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako ,ukala matunda ya mti ambao
nilikukataza,ardhi
imelaaniwa kwa ajili yako;kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za
maisha yako;18 michongoma na miiba itakuzalia nawe utakula mboga za
kondeni 19;kwa jasho la uso wako utakula chakula hata utapoirudia ardhi
ambayo katika hiyo ulitwaliwa”
Katika maelezo hayo hapo juu
utagundua kuwa shughuli za ufanikishaji wa kimaisha ya
binadamu(MAJUKUMU) katika ngazi ya familia zilishagawanywa(assigned) na
Mwenyezimungu katika makundi mawili yaani ya kiuchumi ambayo
alikabidhiwa mwanaume so we are responsible to provide
Money,rent,shelter ,clothing and other expenses like
shopping,Manicures,pedicures Voucher,M-pesa,Tigo-pesa etc na yale ya
Uzazi kama kuzaa ,kutunza na kulea watoto wa
familia alikabidhiwa mwanamke
Hivyo
basi sio busara na ni kinyume na mafundisho ya imani ya dini mwanaume
kulialia pale your girlfriend,wife,Mlupo etc anapodai haki yake ya
kutunzwa na kukukumbusha umgharamie kwa sababu wewe ni mtawala wake tena
unapaswa utii amri ya mwenyezimungu ambayo aliitoa Hapo MWANZO 3:1-24
,Na hata upande wa UISLAM umeeleza bayana mwanamke akishaolewa hata kama
anakazi she isn’t responsible katika gharama zozote za maisha(hata
kuosha vyombo tu) labda aamue mwenyewe ,jukumu lake yeye ni uzazi na
kulea(basic task zile…..)
Nawasilisha tulijadili ,changamoto zinakaribishwa pia
JE WAJUA KUHONGWA KWA MWANAMKE NI HAKI YAKE KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU?
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:31:00
Rating: