Diamond Akataa Milioni Mia Tano za Lowassa

Duuh Hayo sio Maneno yangu Jamani , Gazeti la visa limeandika katika ukurasa wa mbele maneno hayo kama inavyoonyesha 

Limeandika "Wakati wanamuziki wenzake wakilia njaa na kuoza kwa unga , Diamond akataa 500 Mil za Lowassa, Aambiwa ni Pesa Maalum kwa kazi Maalum na atakuwa Maalum 2015, Naye Ajibu : Hizo Pesa peleka makanisani , misikitini ..Inatosha sana"
Diamond Akataa Milioni Mia Tano za Lowassa Diamond Akataa Milioni Mia Tano za Lowassa Reviewed by CapchaMuzic on 08:38:00 Rating: 5
Powered by Blogger.