Zari Amwambia Wema Sepetu Atulie Diamond Sio Mume wala Mchumba wa Mtu


Zari Ameibuka na kumwambia Wema Sepetu kuwa Diamond Sio Mume wa mtu na wala sio mchumba wa mtu kwa sasa hivyo kitendo cha yeye kutoka out naye ni sawa kwani ni maamuzi ya Diamond Mwenyewe kwa vile kwa sasa yupo huru kabisa..Hivyo Wema Sepetu na Team yake wakae Kimya Waangalie tu jinsi Project inavyokwenda kwani muda wake wa kujivinjari na Diamond ulishapita....
Mweee.. Ndimu zikuwapi 
Zari Amwambia Wema Sepetu Atulie Diamond Sio Mume wala Mchumba wa Mtu Zari Amwambia Wema Sepetu Atulie Diamond Sio Mume wala Mchumba wa Mtu Reviewed by CapchaMuzic on 02:46:00 Rating: 5
Powered by Blogger.