Jamani Kosa na Diamond Platnumz na Zari The Lady Bosi ni Lipi ?
Jamani
kosa la diamond na zari lipi? Mpaka sasa hawajasema hadharan kwamba ni
wapenzi wako kwenye "project" Na hata kama ni wapenzi kweli sioni shida
yoyote. Diamond niliwahi kusema bado ni kijana mdogo ambaye bado
hajaweza kustahimili masuala yake binafsi hasa mahusiano.
Jamani Kosa na Diamond Platnumz na Zari The Lady Bosi ni Lipi ?
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:29:00
Rating: