HII IMENISIKITISHA SANA, WANANCHI SHERIA MKONONI SASA WANACHOMA HATA WANAWAKE!

Wakati hali inazidi kuwa mbaya kiuchumi watu wakiwaza watapata wapi pesa masikini kibaka huyu ambaye ni mdada alipo kurupukia mali ya watu na kunaswa na wanainchi walijichokea pasipo na huruma wala kujali kuwa Huyu ni mdada walimtia kibiliti live huku anaona. inasikitisha kwani tumezoea kuona vibaka wa kiume mara nyingi ila wanawake nao wamosiku hizi.
HII IMENISIKITISHA SANA, WANANCHI SHERIA MKONONI SASA WANACHOMA HATA WANAWAKE! HII IMENISIKITISHA SANA, WANANCHI SHERIA MKONONI SASA WANACHOMA HATA WANAWAKE! Reviewed by CapchaMuzic on 11:45:00 Rating: 5
Powered by Blogger.