Team Wema Wamweka Kati Diamond Baada ya Tetesi za Kutoka na Zari the Lady Boss
Kinara wa Team Wema Dougiemasta15 huku instagram amefunguka haya kuhusu Diamond:
kiroho
safi kaka shemej wala hatugombani..ujue dai ss sote ni waafrica ndio
wepesi kuja na conclusion na tunaudhaifu wa kuchunguza ujue shemej wengi
tunataman kuamin kuwa hii ni project na surely we will b so proud ila
shemej kinamna flan ww huaminiki huwa unakuwa na project nying sana lkn
zinaend up kuwa coming soon...mfano JOKATE ukisema mnashot video sawa
lkn matokeo yake unashot hadi behind de scene, penny pia ilikuwa project
mwisho wasiku ukamprojectisha, wema nae movie matokeo yake mpaka leo
producer sion location mmh kwa style hii kwel shemej kukuamin inakuwa
ngumu sana cz hiz coming soon afu zinaend up kuwa coming forever
zinatuchosha...inshu ya zari mbona kama umetuchakachua kaka shemej kwanz
mlituambia mmekutana kweny ndege which its okey mkakaa siti moja means
waliwaandalia siti zenu nyie watu mkijua mtapanda ndege moja still fea
labda ndege ilikuwa empty so uka move..then katika kupoteza muda labda
ndo mkaona mfanye something together still okey haya mkarud bongo muanze
project kama project shemej ww unaimba zari designer na pia nimeskia
anaimba not sure ss shemej hizi picha mala upo nyuma ya zari
mmekumbatiana mala unamkiss shingoni ndio project yenyewe ss MLIENDA
STUDIO LINI NA MKAREKODI LINI NA NYIMBO MLIANDIKA LINI MPAKA FASTA
MUANZE KUSHOT VIDEO NA HIYO VIDEO HAINA DIRECTOR n mm ckuwahi kuambiwa
kama sintah ni mtengeneza video mmmh shemej so you know zari ni mtu
mzima ana watoto ana ameachwa na mumewe ana history ya kupenda ndogo
ndogo na kuwaaribia maisha...if you lov ur career stick to it ila
ukisema ufanye vitu kumkomoa mtu end of time ss ni mashabiki kama
tunaweza kukupandisha naiman hata kukushusha tunawez sio kwa ubaya lkn
ila his fake promises zako za something big is coming plz ur a business
man try to keep ur promic......nitaendelea
Team Wema Wamweka Kati Diamond Baada ya Tetesi za Kutoka na Zari the Lady Boss
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:35:00
Rating: