Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti

“Ha! Ha! Ha! Huyo binti yako anaitwa nani?”
“Ah! Achana naye, naona hasira hata kulitaja jina lake,” alisema mama Juliana huku
akionesha hasira za waziwazi kwa binti yake huyo.


Muda wa makesheshe uliwadia, mama Juliana ndiye aliyeanza kumchokoza kijana wake huyo huku akiwa anahema kwa mihemo ya kimahaba niue…

“Mpenzi wangu Bitungu,” alisema mama Juliana huku akichekacheka kimahaba.
Bitungu hakumwitikia mama Juliana bali alimshika na kumwangushia kitandani…
“Lakini leo sitaki ile njia yako, nataka njia yangu,” alisema mama Juliana.

“Noo! Sitaki mpenzi, nilishakwambia tangu siku ya kwanza uliponionjesha njia ile kwamba sitaki kusikia njia nyingine, ulitaka mwenyewe lazima tuitumie njia hiyo,” alisema kijana huyo kwa sauti iliyojaa uchu.
Mama Juliana hakuwa na jinsi ilibidi akubaliane, walipanda kitandani na kuanza kuchezeana kwanza katika hali ya kupasha misuli ili waingie uwanjani.

“Mpenzi, hebu nionjeshe njia nyingine basi jamani,” mama Juliana alijaribu bahati yake lakini Bitungu akakataa katakata.
Muda ulifika, mama Juliana akajitega kwa njia ile ili mambo yaishe ambapo Bitungu naye akaingia uwanjani kuanza soka.
***
Mara ya kwanza, Bitungu kukutana na mama Juliana alishangaa sana. Sehemu kubwa ya kufahamiana kwao kulianzishwa na mwanamke huyo licha ya kuwa na umri mkubwa na kijana huyo alikuwa kama mwanaye tu.

Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti, Butungu alishtuka wakati wa mechi kuanza kumwona mwanamke huyo anamwelekeza kupita kwenye njia tofauti kabisa na aliyoizoea.

Hali hiyo ilimpa wakati mgumu sana Bitungu, hata mama Juliana alilijua hilo. Lakini kwa vile alikuwa akimpa pesa nyingi kijana huyo, akajikuta anazoea mpaka mwishowe akawa hataki njia nyingine zaidi ya ile aliyofundishwa na mwanamke huyo.

Tabia hiyo ndiyo iliyosababisha Bitungu akaachana na demu wake, Siliani baada ya kukutana naye siku moja na kutaka kumpitia kwa njia aliyofundishwa na mama Juliana. Mzozo mkubwa uliibuka mpaka Siliana akataka kumvaa Bitungu.
***
Baada ya siku hiyo kwa mama Juliana, Bitungu aliendelea na mambo yake kwa ahadi ya kukutana siku tatu mbele. Walikuwa wakikutana mara tatu au nne kwa wiki moja yenye siku saba.
***
Siku hiyo isiyokuwa na jina, simu ya Bitungu iliita, alipoangalia jina halikuwepo, akaipokea …
“Haloo…”“Haloo, naitwa Juliana, tulikutana benki…”
“Ooo, baby wangu, vipi?” alisema Bitungu…
“Poa, mzima wewe?”

“Mi mzima sweetheart, umenitosa halafu mbaya zaidi siku ile namba hukunipa zaidi ya wewe kuchukua ya kwangu ukasema utanibip lakini hukufanya hivyo.”
“Mambo mengi jamani, nisamehe bure.”
“Nimeshakusamehe baby, niambie.”
“Uko wapi?”

“Nipoo…nipo wapi hapa, panaitwaaaa…yaani ni jirani na Amana…”
“Ndiyo unaishi hapo au?”
“Hapana, kuna mtu nilikuwa naongea naye ndiyo nimemalizana naye sasa. Je, naweza kukuona? Si uliniambia unaishi Ilala!”
“Yap! Unataka nije?”

“Ndiyo maana yake jamani Juliana…”
“Basi nakuja.”“Chukua Bajaj, ukifika jirani na Amana nipigie please.”
“Poa.”

Bitungu alijipongeza sana kupigiwa simu na binti mzuri kiasi kile, hakuamini hata chembe hivyo alikaa mkao wa kusubiri…“Ikibidi nisimkawize, leoleo nikamalizane naye. Tena siku ile alionekana kama ni mtoto wa mjini, si ajabu anajua kutumia njia ile,” alisema moyoni Bitungu.

Ni hadithi yenye kisa cha mapenzi ambapo mama na binti yake walikuta wakizama kwenye pezi la kijana mmoja, ndipo kla mmoja alipoamua kukamia juu ya penzi lake kwa kijana huyo je nini kitaendelea...... Endelea na Muvi hiyo............



Ujumbe: Uaminifu ni nguzo muhimu katika ndoa michepuko haifaiiiiii....!!!
Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti Reviewed by CapchaMuzic on 09:18:00 Rating: 5
Powered by Blogger.