SHANGA ZA KIUNONI-FAHAMU UMUHIMU WAKE NA JINSI YA KUZITUMIA WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Habari
zenu Ladies and Gents,Leo jioni nimepokea email kutoka kwa mmoja wa
fans wa hii blog akaniomba
nimjulishe umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiunoni.Kwa kuwa
Romantic Lovemaker sina tabia ya uchoyo,nikaona sio mbaya nikitengeneza
Post nikaiweka kwenye blog ili kila mtu ajifunze kitu(including
aliyetuma email)
Shanga zimeanza kuvaliwa tokea zamani
na kipindi hicho nahisi zilikuwa zinavaliwa kwa sababu ya urembo
zaidi,au zilikuwa zinavaliwa kama sehemu ya mavazi ya mwanamke wa
kiafrika lakini sidhani kama zilikuwa zinavaliwa kwa ajili ya mambo ya
kupeana Raha na Utamu.Ili kuepusha Post isiwe Ndefu sana ukachoka
kuisoma,nikaona itakuwa jambo la busara nikimix Umuhimu na Jinsi ya
kuzitumia kuliko kuelezea mara mbili,kwa hiyo zifuatazo ni
sababu,umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiunoni wakati wa kupeana
Raha na Utamu;
1.UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO
Kuna
baadhi ya wanawake wa siku hizi wanapenda kuvaa shanga kama urembo,na
kusema kweli kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na
kuongezeka mvuto,sio tu kwa wanaume hata kwa wanawake pia(i mean
kuziangalia zikiwa zimevaliwa).Kama unavyoona picha ya hapo juu huyo
dada kiuno chake kilivyopendeza,hata chako kitapendeza pia.Kama
Unatamani kujaribu,ondoa uoga,kanunue kisha na wewe uvae pia.
2.WENGINE WANAZIVAA KWA AJILI YA KUWAONGEZEA HAMU NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kwenye
Ngoma za Asili au kwenye Sherehe utakuta baadhi ya wanawake wamevaa
kitu kinaitwa kibwebwe(it is something like an african traditional
girdle or bellyband that women wear around their waist for traditional
dances or during a fight),wanavaa kibwebwe kwa ajili ya kufanya iwe
rahisi kwao kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.Na kwa upande
wa shanga,kuna Baadhi ya wanawake wanavaa kwa madhumuni hayo pia.Na pia
wanasema sio tu zinawasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza
mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.
3.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU MWANAUME YA KUPATA RAHA NA UTAMU.
Asilimia
kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni
barabarani au ndani ya Basi,Lazima mashine zao zipate shida ya kujizuia
kusimama bila kupenda.(talkin from experience since am a male too).Hata
sielewi kwanini,kwa sababu ukimuona mwanamke amezivaa mkononi wala
hutoweza kupata hisia za ajabu,lakini ukiziona zipo kiunoni lazima upate
hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli.
Kwa hiyo kama huna mazoea
ya kuzivaa,na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye
uwanja wenu wa kupeana Raha na Utamu,basi nenda kanunue shanga,kisha
uzivae ukiwa alone kwa ajili ya kumsuprise mpenzi/mume wako.Utajua kuwa
anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa anapay ATTENTION kuzishikashika na
kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana Raha na Utamu.
4.UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU KUTEGEMEANA NA RANGI ZAKE
Kuna
Baadhi ya Wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta
maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia(either
Mume,Mpenzi,Kimada etc).Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika
kama Mwanaume husika atakuwa anaelewa Maana ya hizo Rangi za
Shanga,Zifuatazo ni Rangi za Shanga na maana yake;
- Nyekundu, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyekundu,basi ujue yupo kwenye siku zake(hedhi/menstruation cycle).Kwa hiyo unaweza kumuuliza ili upate uhakika zaidi usije ukaingiza mashine yako ukaishia kujichafua.
- Nyeupe, Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi Nyeupe,basi ujue kuwa kwa muda huo,Hana Tatizo lolote litakalomzuia kukupa wewe Raha na Utamu,kwa hiyo upo free kufanya chochote na Mwili wake.
- Nyeusi, Kama Ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyeusi,basi ujue kuwa yupo teyari kukupa Raha na Utamu lakini tatizo bado hajanyoa nywele zake za sehemu za siri,kwa hiyo unaweza kumnyoa kama kweli upo romantic tena sana au ukaiacha siku hiyo ipite ili akanyoe baadaye au kama hamu zimekuzidia sana unaweza ukaendelea kama kawaida.
5.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUJIONGEZEA RAHA WEWE MWENYEWE(MWANAMKE) WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Kiuno
cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana ukikitomasa
au ukikipapasa(when u caress it),lazima mwanamke apate Raha na Utamu.
Ukiwa unapeana Raha na Utamu na mwanamke aliyevaa Shanga,wakati wa
kupashana joto(foreplay),usisahau kuzichezea shanga zake kiunoni.
Kama
style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike
kiunoni pake basi peleka mikono yako,chezea shanga kwa
kuzipapasa(kuzicaress) kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda
juu(au direction yeyote utakayopenda),ukifanya hivyo hizo shanga zake
zitakuwa kama zinamtekenya(zinamtickle),na atapata Raha na Utamu wa
kipekee sana.(jaribu kisha enjoy makelele na miguno ya kimahaba
atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho).
N.B-Kama
umezivaa ukaenda kazini,au kwenye biashara zako au ukatoka tu out,make
sure unavaa nguo ambazo zitaficha shanga zako hata kama ukiinama mbele
za watu,inaboa kuona shanga barabarani,kwenye daladala(matatu),maofisini
n.k(etc)
Shanga ni Urembo special wa kuonekana chumbani ukiwa na
mpenzi/mume wako,zinatakiwa zionekane na macho yake tu,zaidi ya hapo
itakuwa sio ustaarabu jamani.
Na kama ukijaribu kuvaa
Shanga ukaona mpenzi wako au Mumeo kama hazipendi,basi unaweza
ukabadilisha kidogo,badala ya kuvaa shanga,ukavaa cheni kiunoni,either
ya Gold au ya Silva kulingana au kutegemeana na rangi ya Ngozi
yako.Kiuno cha mwanamke kinakuwa hakipendezi kinapokosa
Urembo(especially wakati wa kupeana Raha na Utamu.
SHANGA ZA KIUNONI-FAHAMU UMUHIMU WAKE NA JINSI YA KUZITUMIA WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
Reviewed by CapchaMuzic
on
04:09:00
Rating: