Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika !
Katika kikao cha ndani ya CCM, Waziri wa nishati Sospeter Muhongo
amesema bayana kwamba hatishwi na wabaishwaji na kamwe hawezi kujiuzulu
kutokana na chuki za mafisadi wanapigania vitalu vya gesi na kama
atalazimika kujiuzulu siyo tu bunge litayumba, bali ardhi ya Tanzania
itatikisika, kwa sababu anazo data za uhakika kuonyesha hili swala la
IPTL ni mpango uliosukwa na madalali walionyimwa vitalu vya gesi na wale
walivuliwa uwakilishi wa tanesco kisheria
Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika !
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:08:00
Rating: