Mama Ajifungua Mtoto Kisha Amdumbukiza Chooni, Majirani Wasikia Akilia na Kumuokoa
Tukio
hili la kusikitisha limetokea Mkoani Iringa ambapo mwanamke mmoja
alijifungua mtoto na kisha kumdumbukiza katika tundu la choo. Mtoto huyo
alizaliwa nyumbani sio hospitali baadae siku ya tarehe 04/11/2014 mama
huyo alimdumbumiza kichanga hiko jinsia ya Kiume chooni.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkqv56SFK7lD7HCrUE5VC9kBiYec-xCsJjGGVrfrMAckZR-xu2naPxiGB0-ca1nvRMTSdLw6_VMhI0rDxP_MZHm12S47_zx-6RTaq2M9L45WJWFG-tN6x-f9LaR2b6wJCS6L8IClyIuwQ/s1600/MtotoChooni.jpg)
Mtoto
huyo alidumbukizwa chooni jion/usiku wa tarehe 04 na kuokolewa asubuhi
yake tarehe 05/11/2014 (leo) baada ya majirani kusikia sauti za kilio
cha mtoto mchanga. Mtoto huyo yuko hospitalin kwa sasa huku mama yake
akishikiliwa na polisi mwa mahojiano zaidi.
INASIKITISHA KWA KWELI.
Mama Ajifungua Mtoto Kisha Amdumbukiza Chooni, Majirani Wasikia Akilia na Kumuokoa
Reviewed by CapchaMuzic
on
02:13:00
Rating:
![Mama Ajifungua Mtoto Kisha Amdumbukiza Chooni, Majirani Wasikia Akilia na Kumuokoa](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkqv56SFK7lD7HCrUE5VC9kBiYec-xCsJjGGVrfrMAckZR-xu2naPxiGB0-ca1nvRMTSdLw6_VMhI0rDxP_MZHm12S47_zx-6RTaq2M9L45WJWFG-tN6x-f9LaR2b6wJCS6L8IClyIuwQ/s72-c/MtotoChooni.jpg)