Kauli kuhusu kuzaa zamtibua Wema, ‘it’s getting too personal’
Kauli za ‘Wema utazaa lini’ zimemharibia siku Miss Tanzania 2006,
Wema Sepetu. Zimemchosha kiasi kwamba Leo ameamua kuwatolea uvivu vinara
wa kauli hizo and this time madame is very very angry!!
Akipost picha ya mbwa wake anayemtaja kuwa ndio mwanae kwenye Instagram, Wema ameandika:
Okay…
Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see
her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng…
Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta… Mshaniona sizai
basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child im happy for u…
Nd wish u da best… I dont… Ndo mungu alivyonipangia… So please hey….
Watakaozaa all da best… Walio na mipango ya kuzaa hongereni… Mimi sina …
Im done… Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko…. Na wale wa
subhannah llah pia nisiwaone… This is getting too personal sasa…
Kauli kuhusu kuzaa zamtibua Wema, ‘it’s getting too personal’
Reviewed by CapchaMuzic
on
10:43:00
Rating: