HII HAPA NDIO ILE SANAMU JAMAA ALISHIKWA AKIFANYA NAYO MAPENZI..CHEK HAPA PICHA SUPERMARKET
Polisi wamemshikilia kijana aliyekuwa akifanya mapenzi na sanamu ya kuchezea watoto ndani ya Supermarket moja nchini Marekani.
.jpg)
Taarifa
ya jeshi hilo ilisema Johnson alikamatwa katika video iliyomuonyesha
akiwa yupo busy na sanamu hiyo hadi alipogundulika na baadhi ya watu
waliokua wakinua bidhaa.
Inasemekana
alipokamatwa aliomba radhi lakini wateja walikataa na kumkokota hadi
polisi pamoja na sanamu alilokua akifanya nalo kitendo hicho.
HII HAPA NDIO ILE SANAMU JAMAA ALISHIKWA AKIFANYA NAYO MAPENZI..CHEK HAPA PICHA SUPERMARKET
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:57:00
Rating:
.jpg)