Hata uwe mrembo vipi Ukipenda Taarabu Maksi Zinashuka
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjw4D_Vx5gAeJbe401PgHN2nLctnnjsu-oKIKfcghjNT0R2ccMjcxrpPSn8lVhv_Lubxdk_IWATTWZJaM4lcTPNOvzCCK07ptYASZnsWIo0vLiAjyaHkDQPexUo0cCntQI6M09jMfhEn-A/s1600/taarabu.jpg)
Huwezi
kumlazimisha mtu kupenda aina ya muziki ila kuna wadada hapa mjini
wanajifanya wanajua kukariri taarabu, watu mpo bar au kwenye daladala
taarabu ikipigwa mtu anafuataisha maneno mwanzo mwisho bila kukosea na
taarab zilivyo ndefu, Wengi wa Aina Hiyo ni Washari sana, Hata Ndoa zao
nyingi zina matatizo.
Haki ya nani hata kama ungekuwa mzuri kama cleopatra kwangu nakushusha maksi kama ni mwanafunzini yule unayestahili SAP
Hata uwe mrembo vipi Ukipenda Taarabu Maksi Zinashuka
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:47:00
Rating:
![Hata uwe mrembo vipi Ukipenda Taarabu Maksi Zinashuka](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjw4D_Vx5gAeJbe401PgHN2nLctnnjsu-oKIKfcghjNT0R2ccMjcxrpPSn8lVhv_Lubxdk_IWATTWZJaM4lcTPNOvzCCK07ptYASZnsWIo0vLiAjyaHkDQPexUo0cCntQI6M09jMfhEn-A/s72-c/taarabu.jpg)