Wolper afata nyayo za Wema, sasa aamua kunyoa nywele. Je kapendeza?? cheki picha hapa..

wolper1 bongoclan.co.tzbongoclan tanzania
a wale wenzangu na mimi ambao mpo Instagram mtakubaliana na mimi kua Jackline Wolper ni mmoja kati ya wasanii wachache wa kike wanaoongoza kwa kupiga pamba. Baada ya watu kumzoea akiwa na nywele ndefu jana Wolper ametupia picha za mwonekano wake mpya akiwa kanyoa nywele zake na kubakiza zikiwa fupi.
Wengi wa waliotoa maoni kuhusu mwonekano wake huo mpya walimpongeza kua kapendeza je wewe ukiwa kama msomaji wa website yetu una maoni gani???? Tazama picha hizi hapa chini…
 wolper bongoclan.co.tzwolper3 bongoclan.co.tz
Wolper afata nyayo za Wema, sasa aamua kunyoa nywele. Je kapendeza?? cheki picha hapa.. Wolper afata nyayo za Wema, sasa aamua kunyoa nywele. Je kapendeza?? cheki picha hapa.. Reviewed by CapchaMuzic on 01:58:00 Rating: 5
Powered by Blogger.