Wanawake wengi hawajui kuwa heshima yao ipo kwenye maumbile yao
Wanawake ni watu muhimu ktk kila jamii duniani.Kila mwanaume aliyefanikiwa duniani nyuma yake yupo mwanamke,hivyo tunapowazungumzia wanawake tujue umuhimu wao duniani lkn bahati mbaya wanawake wengi ujiona dhalili mbele ya wanaume.Ujiona wao ni daraja la pili na ndio maana wanafanya juu chini kuhakikisha wanakubaliwa na wanaume.Bahati mbaya wana apply wrong procedures kugain appreciation ya wanaume.Wadada wengi wanaamini wakitembeza vifua wazi,vitovu nje,mapaja nje na kubana makalio watathaminika lkn si kweli kwa sababu mwanamke anayejiachia jamii umuona kama malaya na malaya haheshimiki.Kwa nini dada zetu msijitambue kuwa heshima yenu ipo kwenye maumbile yenu.Nawashauri akina dada/mama msitembeze VYA GHARAMA waziwazi la sivyo mtaonekana wa BEI NDOGO kwa wanaume.Heshimuni na hifadhini miili na maumbile yenu la sivyo mtaifanya jamii iamini wanaake wote ni hovyo.
Wanawake wengi hawajui kuwa heshima yao ipo kwenye maumbile yao
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:40:00
Rating: