Sababu 5 ndoa ya Diamond na Wema itadumu kama ikitokea…
Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz aka Dangote ni miongoni
mwa wasanii wanaofanya vizuri katika music industry ndani na nje ya
Tzee, yote ni kujituma kwake kwa kutoa hit songs za nguvu kama ‘Moyo
Wangu’, ‘Ukimuona’, ‘Mbagala’, ‘Number One’ and so many songz
zimempelekea kufika hapo halipo, mapenzi ya Dangote na Wema Sepetu aka
Madam Wema yalianza pale jina la Diamond lilipoanza ku-make headline
kwenye media kutokana na ngoma zake nyingi kukubalika, since that day
mapenzi yao yalishamili kwa kasi sana ingawa walikuwa wana mvutano wa
kutoaminiana na kusababisha Diamond Platnumz kuachana na Wema Sepetu na
kumchukua Peniel Mungilwa aka Penny, but they could not last long
mapenzi yakarudi tena kwa Wema Sepetu yote kutokana na Diamond kumuona
Madam Wema ni msaada kwake, na kuna tetesi kuwa Wema Sepetu ananyota
kali sana ya mafanikio kiasi cha kumfanya Dangote kuona umuhimu wa
kufunga ndoa, na hivi ndivyo vitu vitano vinavyofanya ndoa ya Diamond
Platnumz na Wema Sepetu kudumu kwa muda mrefu kama ndoa hiyo ikitokea.
Kutosikiliza maneno ya watu
tumeona ndoa nyingi sana za mastaa zinavunjika not only Tzee even
abroad mfano kwa Bob Junior na Halima, Ezden na Dida yote ni kusikiliza
sana maneno ya watu kuliko hisia zao wenyewe.
Kusaidiana
Tukiangalia kwa Jay Z na Beyonce wanasaidiana sana kwenye kazi yao
ili wazidi kuendelea ku-make mkwanja, so kwa Dangote na Wema wakiwa
wanasaidiana watadumu na kufika mbali sana katika ndoa yao.
Elimu
ukweli utabaki kuwa kweli Diamond Platnumz hana elimu ya kutosha
kumzidi Wema Sepetu ila ana mkwanja than Wema kitu kinachowafanya
wazidi kujifunza kutoka kwa kila mmoja.
Kutambuana kitabia
kitu kitakachowafanya wazidi kudumu kwenye ndoa yao kila mmoja
kumtambua mwenza wake coz wameshaumizana sana, kujivuna kwa sana na sasa
watakua wanajua ni kitu gani wanapaswa wasifanye ili kutoumizana.
Wote ni mastaa
Hii itawasaidia sana katika kuendeleza mshikamano wao katika ndoa kwa kujilinda kutokana na hadhi waliyonayo right now.
Sababu 5 ndoa ya Diamond na Wema itadumu kama ikitokea…
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:16:00
Rating: