Ray C Afunguka Makubwa kuhusu Wema na Kajala, pia amuomba Msamaha Zamaradi Mketema
Ray Ameamua kufunguka na Kusema Haya:
“Kiukweli huwa naumia sana ninapoona mastaa tunatumia muda mwingi
kulumbana na kugombana kwa mambo ya kipuuzi sana,mastaa wenzetu wa
Nigeria wanatushinda kwa mambo mengi sana sababu wao wanashirikiana na
kusapotiana katika mambo mengi sana na hata ukiskia wamepishana basi
ujue ni kwa ajili ya biashara tu na si vinginevyo!nilichogundua Mimi ni
kwamba kumekua na makundi mbalimbali mitandaoni yanayokuza mambo na
kusapoti wasanii kulumbana Mara team simba Mara team nyani!naingea
kutoka. Moyoni kuwa watanzania tunasifika kwa kuwa na amani na
upendo!sasa iweje tena tuishi maisha ya kuchukiana na ugomvi badala ya
kuishi kwa amani?najua sisi wasanii tuna mashabiki wengi. Na tunapenda
na nnyie mnatupenda kwahiyo mnatakiwa kutupatanisha tunapogombana na si
kutushabikia coz mnaposhabikia ugomvvi ndio mnapotufanya tupoteze muda
kulumbana badala ya kutumia huo muda kufanya kazi zetu za sanaa kwa
bidii tutangaze nchi yetu tunapoteza muda kulumbana,wenzetu wanaigeria
wako mbali sana kwa sababu wanasapotiana sana!wasanii tuache bifu za
kijinga na tutumie muda mchache tuliopewa na mola kufanya kazi zetu kwa
bidii tutangaze nchi yetu ili vizazi vijavyo virithi bidii zetu,na
naomba sana mashabiki wote msapoti mazuri tuyafanyayo”
Ray C ameendelea kusema na kumwomba msamaha Zamaradi Mketema kama ifuatavyo :
“Love u zama n sorry for everything keep doing wat u do best
@zamaradimketema n hey dogo langu @wemasepetu and my friend @new_kajala
tusameheane na tupendane na tupige kazi Africa watutambue bana!!!!!!“
Ray C Afunguka Makubwa kuhusu Wema na Kajala, pia amuomba Msamaha Zamaradi Mketema
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:11:00
Rating: