MTIKISIKO! MSOMI WA KIISLAMU ALIYEFUNGUA MSIKITI WA MASHOGA NA WASAGAJI ATIKISA DUNIA,ARUHUSU WANAWAKE KUWA MAIMAMU KUSWALI PAMOJA NA WANAUME ATISHIWA KIFO ASEMA AJALI
Taj Hargey denies going against Muslim teaching
Taj Hargey,Profesa anaejiita kuwa ni msomi wa kiislamu amefungua rasmi msikiti ambao anasema wapenzi wa jinsia moja wataruhusiwa kusali ndani na wanawake wataruhusiwa kuendesha ibada kama ma-imamu!
Hii ni picha ya kupokea vitisho vya kuuwawa na kukosolewa sana na baadhi ya watu na makundi mbalimbali ya kiislamu.
Hii ni picha ya kupokea vitisho vya kuuwawa na kukosolewa sana na baadhi ya watu na makundi mbalimbali ya kiislamu.

"Wanawake wataruhusiwa kuongoza ibada katika msikiti wa Taj Hargeyambao pia unajulikana kwa jina la O pen Mosque mjini Cape Town,ameeleza katika hotuba ya ufunguzi wa msikiti huo.
"Tunaufungua msikiti huu kwa watu wanaowakubali wenzao bila bila ya kuwabagua alisisitiza bwana Hargey.
Anasema msikiti huo utaweza kusaidia kukabiliana na itikadikali za kiislamu ambazo zinaendelea kukita mizizi katika jamii.
Bwana Hargey ambaye ni profesa katika chuo cha mafunzo cha kiislamu mjini Oxford,Uingereza ameiambia huu ni wakati wa mageuzi kidini.
"Miaka 20 iliyopita Afrika kusini ilishuhudia mageuzi yaliyofanywa kwa njia ya amanikutoka katika enzi za ubaguzi warangi hadi kwa demokrasia na tunahitaji kuwa na hali kama hiyokatika dini"halisema bwana Hargey
MTIKISIKO! MSOMI WA KIISLAMU ALIYEFUNGUA MSIKITI WA MASHOGA NA WASAGAJI ATIKISA DUNIA,ARUHUSU WANAWAKE KUWA MAIMAMU KUSWALI PAMOJA NA WANAUME ATISHIWA KIFO ASEMA AJALI
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:51:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:51:00
Rating: