LULU AFUNGUKA UKARIBU WAKE NA KADINDA

Stori: Mayasa Mariwata
MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na Martin Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Martin Kadinda.
Akipiga stori na paparazi wetu, Lulu alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa kweli na amekuwa akiinjoi maisha yao kwa kushauriana masuala mbalimbali ya kimaisha tofauti na wengine wanavyojiongeza.
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
“Kadinda ni mtu wangu wa nguvu hakuna kingine zaidi ya urafiki wa kawaida, manenomaneno ni kawaida kwa wanadamu,” alisema Lulu.
LULU AFUNGUKA UKARIBU WAKE NA KADINDA LULU AFUNGUKA UKARIBU WAKE NA KADINDA Reviewed by CapchaMuzic on 01:25:00 Rating: 5
Powered by Blogger.