KUTANA NA WATU MAARUFU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUKUTWA NA MASWAHIBU MAKUBWA

1. JOHN LENNON (MUIMBAJI) 
Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake (Hapo alilitaja kundi lake la The Bettle). Ilikuwa mwaka 1966.

Wiki moja baada ya kutamba kwamba yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki.


2. TANCREDO NEVES (RAIS WA BRAZIL) 
Alisema kwamba endapo angepata kura laki tano kutoka katika uchaguzi mkuu wa Brazil na kuwa rais, hata MUNGU asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa, akapata kura zaidi ya hizo, akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa, akafariki dunia.
 
3. CAZUZA (MWANAMUZIKI WA BRAZIL) 
Alipokuwa katika shoo yake ndani ya jiji la Rio De Janeiro, alichukua sigara, akaanza kuivuta, akachukua nyingine na kisha kuirusha juu na kusema "Mungu, hiyo yako, chukua nawe uvute"
Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu ambayo iliyaharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote yule. 

KUTANA NA WATU MAARUFU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUKUTWA NA MASWAHIBU MAKUBWA KUTANA NA WATU MAARUFU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUKUTWA NA MASWAHIBU MAKUBWA Reviewed by Unknown on 03:17:00 Rating: 5
Powered by Blogger.