Kumbe Riyama ndo aliongea uongo hadi Frank akakosa dili la kuingiza Uingereza!!! Soma alichokisema Frank hapa.
“Naomba watu waniulizie dada yangu Riyama nimemkosea nini? Pamoja na kumsaidia lakini ndio amekuwa mfitini wa kazi zangu, alishanifanyia unyama huo, Shamsa Magunga katika kazi yake, leo tena karudia kwa Didas,” “Siumii kwani sikwenda kurekodi Uingereza no, bali kwani mtu akupe sifa ambayo hauna, kama ya ukorofi na usumbufu,”anauliza Frank.
Kumbe Riyama ndo aliongea uongo hadi Frank akakosa dili la kuingiza Uingereza!!! Soma alichokisema Frank hapa.
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:40:00
Rating: