Kuhusu Wema Kumbusu Mdomoni Aunt Ezekiel,Haya Majibu Yake Aliyonipa Leo Mchana
Picha zinazomuonyesha Wema Sepetu
akimbusu rafiki yake Aunt Ezekiel zimeleta maswali mengi kutok kwa watu
wanaofuatilia maisha ya mastaa hawa, yakiwemo je ni wapenzi wa jinsia
moja au walikuwa wamelewa wakati wanafanya mambo haya.
Kwenye Interview leo Wema ameniambia
"Yes i kissed her like i kiss any person who is so close to me" Wema
aliendelea kusema "Its not only her, i kiss my mum, my daughter, ma
sister , people who are close to me i kiss them "
Wema ameniambia kukiss mtu ambaye yupo karibu na wewe sana ni kawaida na haswa wasichana wanaopendana na ni marafiki ni kawaida kwao kukiss kwenye lips na sio denda kama inavyotafsiriwa.
Wema ameniambia kukiss mtu ambaye yupo karibu na wewe sana ni kawaida na haswa wasichana wanaopendana na ni marafiki ni kawaida kwao kukiss kwenye lips na sio denda kama inavyotafsiriwa.
"Kissing on the lips kwa girls to girls
is very very okey, its not ok kwa men to girls or men to men, kwa girls
to girl kama u r close and attached, its ok, i kiss my mum and my sister
on thier lips"
Kuhusu Wema Kumbusu Mdomoni Aunt Ezekiel,Haya Majibu Yake Aliyonipa Leo Mchana
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:14:00
Rating: