UKUBALI UKATAE !!, MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi,
lakinilinapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi
ambayohuleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.Kuna watu ambao
hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wenginewakikosa uwezo wa
kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.Mtu anaweza kuwa na mke na
kujikuta kila siku anatumia ‘chakula chausiku’ kwa sababu tu hakuna wa
kumkataza na kwamba ana haki ya kufanyahivyo kwa sababu amelipa
mahari.Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini
uchunguziunaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza
hisia zakimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.Pamoja na
tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayomtu asiyekuwana kiasi
katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni vematukajifunza
ili tusiwe watu wa kuendekeza miili kiasi cha kulazimikakufanya mapenzi
kila tunapokutana hata kwenye nguzoya umeme na chini yamiti kwa vile tu
miili imetaka kufurahika.Twende pamoja katika kutazama madhara hayo kwa
kina.KUPOTEZA HAMU YA TENDO.Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza
haraka hisia za kimapenzikwa wapenzi wao kutokana na sababu za
kisaikolojia zinazowezakujitokezawakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa
mara kwa mara.Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea
mwenza kiasi chakukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu.Aidha
kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza kutokanana
kukutana mara kwa mara kwaaina zile zile za mapenzi na penginesehemu
moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linawezakumfanya
mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupotezahamu naye
na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.KUUJAZA
MWILI TAMAA KUBWA.Tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara huongeza
uzalishaji wahomonimwilini na kuufanya mwili uwe namsukumo mkubwa wa
kutaka kuridhishwakwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo kumfanya
mhusika asiwe mtu mwenyeuwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani
wa kufanya naye mapenzina kwa wakati gani?Watu wanaojiendekeza katika
kufanya mapenzi mara kwa marandiyo waleambao kila wanayemtazama
barabarani humtamani bila kujali hadhi yake.Hawa ndiyo wanaobaka,
kusaliti ndoa zao hata kwa watumishi wa ndani aukufanya mapenzi na
watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwazimeathirika kwa tamaa ya
mapenzi.Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na
uwezo wakuzuia tamaa yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani kuwa
hata nahouseboy ili akukate kiu ya penzi.KUPOTEZA RAHA KAMILI YA
TENDO.Raha ya tendo hutegemea sana hisia iliyokuzwa kutokana na mapenzi
sahihina kiu ya kufanya mapenzi, hivyo basi ukiwa mtu wa kufanya mapenzi
kilamara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata
furahaambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako.Kama ni mapenzi utakuwa
unayafanya kwa mazoea tu na msisimko wakoutakuwa mdogo!KUPOTEZA NGUVU ZA
MWILI.Madhara mengine yanayoweza kupatikana kwa kufanya mapenzimara kwa
marani pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili.Kama tujuavyo tendo la
ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvunyingi, hivyo kuufanya
mwili uchoke. Aidha lishe inapokuwa ndogo kwawafanya mapenzi mwili
hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko yakimaisha.Sambamba na hilo
mbegu za uzazi zinazotoka kwa wanaume wanaofanyamapenzi mara kwa mara
huwa dhaifu.KUPATA MAGONJWA.Kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya
mapenzi mara kwa mara huwa natamaa na hujikuta wanafanya mapenzi holela
ambayo huweza kuwasababishiamagonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi, lakini
ufanyaji wa mapenzi usiokuwa namsukumo wa kutosha hasa kwa wanawake
huwafanya waishiwe msisimko nakuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute
unaoweza kuwakingana michubukowakati wa kujamiiana na hivyo
kuwasababishia michubuko itakayowezakuleta maambukizi ya haraka ya
magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.
UKUBALI UKATAE !!, MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:44:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:44:00
Rating:
