Man U yamsajili Falcao,Chicharito ajiunga na Real Madrid Live
Mtandao wa Metro wa Uingereza umeripoti kuwa, Radamel Falcao anadaiwa
kukubali dau la mshahara wa £134,000 (zaidi ya shilingi milioni 364)
kwa wiki kutoka Manchester United kutokana na kuhamia Old Trafford kwa
mkopo kutoka Monaco.
Hata hivyo Daily Mail wanadai atakuwa akipokea £200,000.
United
wameamua kumchukua Falcao kwa dau la £12m Monaco ambako alikuwa
akilipwa £300,000 kwa wiki. Mchezaji huyo raia wa Colombia pia alikuwa
kwenye mazungumzo na club za Arsenal na Manchester City. Mchezaji huyo
anatarajia kusafiri kwenda Manchester, Uingereza kwa ndege binafsi
kwaajili ya kuchukua vipimo.
United wanatarajia kumuuza kwa mkopo Javier Hernandez kwa Real Madrid na kumruhusu Danny Welbeck kwenda Tottenham.
Unaweza kuangalia hapa Live dirisha lausajili ambalo linafugwa leo saa 6.00 bonyeza hapa>>>>>>><><<<
Man U yamsajili Falcao,Chicharito ajiunga na Real Madrid Live
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:12:00
Rating: