Picha: Samaki Mwingine Aina ya Nyangumi Aonekana Ufukweni Pemba, Wananchi Wachangamkia Nyama

Wananchi wakikata minufo ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa bahari ya Pemba maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo.

Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi aliyeonekana Pemba akiwa ameanguka ufukwe wa bahari wa shamiani.
Picha: Samaki Mwingine Aina ya Nyangumi Aonekana Ufukweni Pemba, Wananchi Wachangamkia Nyama Picha: Samaki Mwingine Aina ya Nyangumi Aonekana Ufukweni Pemba, Wananchi Wachangamkia Nyama Reviewed by CapchaMuzic on 00:51:00 Rating: 5
Powered by Blogger.