Mrembo anayefunika kwa umbo zuri nchini Kenya!!!
Kwa jina kamili anaitwa Lily Corazon Kwamboka, mrembo
kutoka nchini Kenya. Hauwezi ukamaani kuwa binti huyu ni mwanasheria
aliyehitimu masomo yake kutoka chuo kikuu cha Nairobi. Kama ndio mtu
unakesi alafu demu ndio wakili wako basi hesabu ushindi. Umaarafu wake
umetokana na umbo lake la kuvutia na baadhi za picha alizopiga kutoka
studio ya buoart . Hizi ni baadhi ya picha za corazon :-
Mrembo anayefunika kwa umbo zuri nchini Kenya!!!
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:40:00
Rating: