Mambo matano makubwa katika maisha ya Diva
1. The moment nilipoendesha gari yangu kwa mara ya kwanza! I
felt like it was about time kwa sababu nilijituma sana na ku save pesa
na mwisho nikawa na la kwangu mwenyewe! No more taxis!!
2. The day I did the Turn up night pale Bilicanas. I felt so proud of
myself. Ni kama nilikamilisha kitu fulani wonderful ambacho kilikuwa
very financially beneficial kwangu.
3. The moment niliposoma kuwa nimetangazwa kuwa best female presenter
kwa Tanzania. It was just so fulfilling. Nilihisi kwamba jamii sasa
imeanza kunikubali na ku appreciate kazi ninayofanya day in, day
out. Kukaa macho kila siku mpaka saa sita usiku au saa saba usiku mara
nyingine na kujitahidi kufanya kipindi kiwe kizuri zaidi lakini
kuamka saa tatu asubuhi so that naweza kufanya shughuli nyingine pamoja
na kukutana na producer wangu ku plan the next show.
4 . Nilipofanya Diva Giving For Charity event ya kwanza kabisa
Kuwasaidia orphans na less fortunate people ni kitu ambacho
kimekuwa ndoto yangu. Mara zote nilikuwa natamani kufanya maisha yao
yawe bora. So baada ya kupata chance ya kutumia my fame and platform as a
public figure kuwasaidia, ni moja ya vitu ninavyoweza kujivunia kwenye
maisha yangu. Napenda kuona nao wakitabasamu.
5. Nilipotangaza kwa mara ya kwanza. Ilikuwa katika kipindi cha
Jahazi na Gadner G Habash alinipa nafasi kuongea hewani kwa mara ya
kwanza. I felt like I had found my calling. Lengo langu kwenye maisha.
Ni siku ambayo nadhani ilini define who I am now. I am very grateful.
Mambo matano makubwa katika maisha ya Diva
Reviewed by CapchaMuzic
on
10:52:00
Rating: