skip to main |
skip to sidebar
Komandoo Sidhee Bahadurkatuwal (kulia) kutoka Nepal akionesha nyumba ya
Mrwanda aliyokuwa akiilinda kupitia kampuni ya Ulinzi ya Advanced
Security karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar
es Salaam, akiwa na makomandoo wenzake kutoka Nepal,
Maofisa wa Uhamiaji wakimhoji mama wa kitanzania aliyeolewa na
mnyarwanda ambao nyumba yao ilikuwa ikilindwa na Komandoo kutoka Nepal
Baadhi ya makomandoo wa kijeshi kutoka Nepal wakiwa wamevalia sare ya Kampuni ya Ulinzi ya Advanced katika nyumba hiyo.
MAKOMANDOO WA NEPAL WAKIONESHA NYUMBA YA MNYARWANDA WALIYOKUWA WAKILINDA UWANJA WA NDEGE DAR
Reviewed by
CapchaMuzic
on
01:24:00
Rating:
5