Kilichomfanya Jacqueline Wolper aifute hii picha ya Lucy Komba instagram….
Wolper aliandika ‘Tukio lililoniuma ni kutohudhuria katika furaha ya milele ya my dada kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu‘
ambapo baada ya post hiyo baadhi ya followers wa Wolper walianza
kutukana kwenye comments na kukosoa mavazi ya Maharusi kama unavyoona
hapa chini.
Baada
ya matusi kuongezeka ilibidi Wolper aifute hiyo post muda mfupi baadae
na kisha akapost picha yake na kuiambatanisha na haya maneno
>>> ‘Jamani hivi wapenzi wa Insta
tabia ya mimi kuweka picha ya mtu alafu mnakosoa mnatukana sio poa,
kwanini msitukane yangu tuu, naweka picha za maharusi wa watu mnaweza
kuwa Wanamitindo wa kukosoa watu hawajui kuvaa kwanini? sio poa
sijapenda…… haya nibomoeni hapo hiyo picha ni yangu, ruksa‘
Hata
hivyo baadae ya hii post Wolper alipost nyingine ya Maharusi hao lakini
isiyoonyesha sana mavazi yao kwa kiasi kikubwa ambayo ndio hii hapa
chini na kuandika maneno mafupi tu…. ‘One love my sisy’
Kilichomfanya Jacqueline Wolper aifute hii picha ya Lucy Komba instagram….
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:39:00
Rating: