JEURI YA PESA MARTIN KADINDA ANUNUA SAA YENYE THAMANI YA TSH. MILION 15


Hii ndio habari ya mujini, haya kama ulikuwa hujui basi chukua hii, designer mkubwa wa nguo Tanzania ameamua kufunguka kupitia mtandao wako wa jamii wa makubwa haya blog yakuwa yeye gari kwake sio ki2, kwa kudhihirisha hilo ameamua kununua saa inayoitwa TAGHEURE yenye thamani ya $9800 ambayo ni sawa sawa na milion 14 za kitanzania na hii ndio kauli aliyoitoa designer martin kadinda kutokana na saa hiyo....Yeeeeeeeeees I finaly own one…. #TAGHeuer #GrandCarrera watch….. U own fancy car I own this Watch……. Google it if u dont mind.. Its all about uamuzi,design n fashion..big up kwa martin kadinda coz u have done something different in the industry of Tanzania keep it up jamany u really desearve to be congratulated
JEURI YA PESA MARTIN KADINDA ANUNUA SAA YENYE THAMANI YA TSH. MILION 15 JEURI YA PESA MARTIN KADINDA ANUNUA SAA YENYE THAMANI YA TSH. MILION 15 Reviewed by CapchaMuzic on 02:03:00 Rating: 5
Powered by Blogger.