Makubwa haya!! MWANAMKE HUYU ATUMIA ZAIDI YA MILIONI 30 KUONGEZA TITI LA TATU ILI APATE USTAA KWENYE TV

Jasmine Tridevil katika pozi.
Mwanamke
aliyejitambulisha kwa jina la Jasmine Tridevil (siyo jina lake halisi)
mwenye umri wa miaka 21 amedai kufanyiwa upasuaji na kuongezwa titi la
tatu kupitia mahojiano aliyoyafanya redioni.
Jasmine
ambaye ni raia wa Tampa jijini Florida nchini Marekani
anayejishughulisha na utoaji huduma ya massage, alilipa kiasi cha dola
za Kimarekani 20,000 sawa na milioni 33.4 za Tanzania kufanyiwa upasuaji
huo.
Mwanamama
huyo katika mahojiano na Real Radio 104.1 alidai kuwa ameamua kufanya
hivyo ili asiwe na mvuto kwa wanaume na pia apate ustaa katika tv
Lakin
pia mrembo huyu wazazi wake wamekataa lakin yeye amesema lazima azma
yake ya kuwa staa itimie...tayari ameshasambaza picha zake akiwa na
matiti matatu ambapo yeye amesema ni furaha kwake
Makubwa haya!! MWANAMKE HUYU ATUMIA ZAIDI YA MILIONI 30 KUONGEZA TITI LA TATU ILI APATE USTAA KWENYE TV
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:04:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:04:00
Rating: