Tumekuwa Tunalalamika Sana Na Wizi Wa Vichocha Vyetu Kwenye Mitandao Yote Ya Simu Nita Experience Tigo Na Aitel
1:kwenye tigo ukijiunga mfano saa 3:00 Meseji Inakuja Inaonesha Umejiunga Saa 2:50, kwa maana ya kwamba utakapotumia kifurushi chako hakioneshi muda wa kuisha na hii inafanywa makusudi ili kukomba na kasalio kaliko back.
2:facebook ya kiswahili, usitumie hii facebook kama ujajiunga na una salio kwenye simu yako, baada ya muda unakuta kasalio kameenda na hili halifanywi kwa bahati mbaya.
3: ukiweka vocha 500 bila kuitumia baada ya siku tatu inakuta imebaki ya kubpu.
4: siku hizi hata ukipbu unaliwa salio.
5:Aitel Hapa Ucjaribu Kukopa Na Ukikopa Pia Imekula Kwako Mimi Nilikopa Cha Ajabu Ile Mia Tano Sikuitumia Na Nimelipa Deni Mara Mbili
6:pia Na Wao Ukiweka Vocha Bila Kuitumia Imekwenda.
ONYO: HAKUNA MTANDAO WENYE NAFUU YOTE INAFANYA HUU WIZI, WEKA SALIO PALE UNAPOTAKA KUTUMIA TU.