HII ndo NYUMBA YA SPIKA WA BUNGE ILIYOGHARIMU TAKLIBANI BILION 1.5
Hatimaye Spika wa Bunge la Tanzania pale Dodoma atakuwa na makazi rasmi baada ya ujenzi wa nyumba ya Spika kukamilika na makabidhiano kufanyika. Nyumba hiyo ambayo ipo maeneo ya
Uzunguni nje kidogo ya
Dodoma mjini imegharimu takribani Tshs 1.5 Billion na imejengwa na
kampuni ya Pacha Building Construction Company. Hii inakuwa nyumba ya
kwanza rasmi ya Spika kwani hapo awali hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi
ya Spika.
Photo via John Bukuku
Photo via John Bukuku
HII ndo NYUMBA YA SPIKA WA BUNGE ILIYOGHARIMU TAKLIBANI BILION 1.5
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:40:00
Rating: