DIAMOND APOST PICHA HII YA WEMA NA KUANDIKA UJUMBE MZITO! KWENYE BIRTHDAY YAKE
Baada ya vyombo mbalimbali vya habari kuripoti kuwa Diamond Platnumz na Wema hawataoana na sasa Diamond ana mpango wa Kuoana na Meninah, huku leo akiwa ni siku ya kuzaliwa ya wema sepetu Diamond Platnumz amefunga midomo ya wanafiki wote wanaolimendea penzi lake na wema kwa kuweka ujumbe huu mzito
-->
“Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza…Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa…..vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina….lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea…to the world, you may be one person…But to me, you are the world, My Beautiful World…na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu….i may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling….mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon….Love you mama”
DIAMOND APOST PICHA HII YA WEMA NA KUANDIKA UJUMBE MZITO! KWENYE BIRTHDAY YAKE
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:13:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:13:00
Rating:
