BREAKING NEWZZZZZZ;AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA GAIRO WATU KIBAO WASADIKIWA KUPOTEZA MAISHA

HABARI ZA HIVI PUNDE!! AJALI NYINGINE MBAYA MAENEO YA KIEGEYA GAIRO, GARI LA ABIRIA KUTOKA DAR-TABORA LIMEPATA AJALI MBAYA KIASI KWAMBA WATU KARIBIA 48 WAMEPOTEZA MAISHA ..VIONGOZI MBALI MBALI WA SERIKALI WAPO ENEO LA TUKIO..KWAKWELI NI MAJONZI VILIO NK.
Air BUS DAR-TABORA..

BREAKING NEWZZZZZZ;AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA GAIRO WATU KIBAO WASADIKIWA KUPOTEZA MAISHA
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:34:00
Rating: