Breaking Newz;Jeshi la Nigeria Limewauwa wapiganaji zaidi ya 70 wa Boko Haram
Jeshi la Nigeria limetoa
ripopoti kua mpaka sasa limekwisha waua wapiganaji 70 kutoka katika
kikundi cha kiislam cha BOKO HARAM,kutokana na mashambulizi kati ya
kikundi hicho na wanajeshi wa Nigeria kaskazini -mashariki mwa mji wa
Bama.
Boko Haram walifika mapema asubuhi katika mji
huo wakiwa na magari ya kivita,taarifa kutoka katika mji huo zinaeleza
kwamba mashambulizi yalianzishwa na vikosi vya jeshi la Nigeria.Msemaji wa kundi hilo la Boko Haram ameelezea hali ya mji huo kwa sasa kua wakaazi wa mji wa Bama wamekimbilia katika mji mwingine wa Borno na Maiduguri .
Nalo shirika la Amnest International limetoa takwimu raia wapatao milioni nne wamekufa mwaka huu katika mgogoro huo kati ya Boko Haram na vikosi vya ulinzi vya Nigeria.
Breaking Newz;Jeshi la Nigeria Limewauwa wapiganaji zaidi ya 70 wa Boko Haram
Reviewed by CapchaMuzic
on
13:44:00
Rating: