AUNT EZECKIEL ALIVYO LIWA URODA NA MCHEZA SHOO WA DIAMOND "MOZE IYOBO"


-->
wakati nyota msanii wa filamu Aunt Ezeckiel alipokuwa akitumia mdamwingi kukanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mcheza shoo wa Diamond Platnumz aitwaye Moze Iyobo imebainika kuwa alikuwa anaficha Ukweli halisi
Kwa mujibu wa Chanzo chetu Aunt na Moze walianzisha uhusiano wa kimapenzi Nchini Afrika kusini bila ya mcheza shoo uyo kupanga kwani tayari alikuwa na mahusiano na mwanamke aliye zaanaye mtoto mmoja anayefahamika kwa jina la Mwengi
Inaelezwa kwamba Daimond alikwenda nchini humo kwa Tuzo za Mtv Base akiongozana na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ambaye anauhusiano nae kimapenzi Aunt Ezeckiel ambaye ni shoga wa Mrembo huyo pamoja na Moze
http://www.gumzolajiji.com/wp-content/uploads/2014/09/diamond1.jpg
Habari zimezidi kutanya kuwa wakiwa nchini humo Diamond na Wema walichukua chumba chao,Aunt na Moze pia walikuwa kwenye vyumba tofauti.
Mtonyaji wetu amesema kwamba,moja kati ya usiku wakiwa hotelini hapo,Aunt akifanya kwamba amelewa alivamia chumbani kwa Moze akiwa katika mavazi ya Kihasa hasara.
"Na suala la Aunt na Moze wakakutana kimwili ,kulivyo kucha Aunt akamganda Moze kilisema Chanzo chetu".
Chanzo hicho kiliongeza kwamba baada ya kurejea jijini Mwengi alipata Taarifa na kumbana Moze alikiri na kumweleza ni vigumu kumkimbia Aunt kwakuwa staa huyo kutwa yuko na Wema ambaye maranyingi huwa na Diamond na Nyota huyo achezi mbali na Moze hinyo Aunt Hakwepeki.

"Kutokana na maeleze hayo Mwengi akaamua kusitisha huduma ya kimwili na Moze lakini uhusiano wao Unaendelea Chanzo chetu kiliongeza.Habari zinasema kwamba,Mwengi alipo mfuata Aunt na kumwomba asitishe Uhusiano na Mzazi mwenzake kwa kuwa msanii huyo analea msanii huyo akamjia juu na kumwambia kwamba hamuogopi na wala hamtishi lolote.Inaelezwa kwamba kwa kuwa anasingiziwa basi atafanya kweli jambo ambalo limethibitika baada ya hivi karibuni kuonekana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere alipokuwa akimsindikiza Mose kwenda Marekani.


AUNT EZECKIEL ALIVYO LIWA URODA NA MCHEZA SHOO WA DIAMOND "MOZE IYOBO" AUNT EZECKIEL ALIVYO LIWA URODA NA MCHEZA SHOO WA DIAMOND "MOZE IYOBO" Reviewed by CapchaMuzic on 02:32:00 Rating: 5
Powered by Blogger.