skip to main |
skip to sidebar
Mwanaume
mmoja huko nchini Uganda Amekamatwa baada ya Kujifanya ni Mwanamke ili
apate kazi ya House Girl, Zoezi lake hilo lilifanikiwa na kuweza kupata
hiyo kazi lakini siku zilivyozidi kwenda Boss wake ambae ni Mama Mwenye
Nyumba alishtukia mchezo na kugundua ni Mwanaume, Baada ya kugundulika
jamaa alichukua kipigo kutoka kwa Majirani , alipoulizwa kwanini ameamua
kufanya hivyo alijitetea akasema Maisha ni magumu na kupata kazi kama
mwanaume ni ngumu
Vituko: Mwanaume Aliye Jifanya Mwanamke na Kupewa Kazi ya House Girl Akamatwa
Reviewed by
Unknown
on
02:58:00
Rating:
5