Unataka kumuona Diamond mdogo, huyu hapa!
Ikiwa leo ni alhamisi, ambapo mpango mzima wa throwback, wengi hupenda kukumbushia picha nyingi zilizowahi kuchukuliwa siku kama ya leo, aka TBT- throw back thursday, hii hapa ya Diamond Platnumz na ndugu yake, ingawa hakuna uhakika kama ilikuwa ni siku kama ya leo au la, ila inapewa heshima yake siku ya leo, ukimuona na star wa Bongo pamoja na ndugu yake Romy jons walivyokuwa kipindi hicho enzi za mwalimu.
Unataka kumuona Diamond mdogo, huyu hapa!
Reviewed by Unknown
on
05:24:00
Rating: