Unamkumbuka yule jamaa aliemchinja Mwandishi wa habari wa Marekani basi unaambiwa imegundulika kuwa ni Msanii Maarufu duniani Msome hapa
Picha za kushangaza zimeibuka za rapper Abdel-Majed Abdel Bary
anayehusishwa na mauaji ya mwandishi wa habari kutoka Marekani huko
nchini Syria. Picha zingine zinamuonyesha Bary akiwa amevalia nguo za
jeshi na ameshika bunduki na zingie akiwa na bunduki kama AK 47 Na M16.
Picha na taarifa hizi zimekuja kama mshtuko kwa familia yake ambayo
wanasema walimpa mtoto wao kila kitu ili awe na furaha.
Pozi maarufu la rapper huyu likifananishwa na pozi analoweka sasa akiwa na silaha.
Picha hizi ni za Abdel wakati anafanya muziki wa rapper, ameva lebel tofauti kama addidas na yupo studio mbele ya Mic.
Mfungwa aliyetekwa na kundi la Abdel anasema alitekwa na vijana kutoka Uingereza wanaopigana vita vya jihad, wanajiita ‘The Beaatles’. Bary mwenye miaka 23, Abu hussain Al Britani ambaye ni mtalamu wa computer , Abu Abdullah al Britani.
Gazeti la the Sun linasema sauti za vijana hawa zinafanana kabisa na sauti zilizosikika kwenye video ya mauaji ya Mr Foley.
Marafiki wa Abdel wanasema jamaa anakipaji cha kufanya rap na kuwa msanii mkubwa duniani,familia yake inapesa na ilifanya kila juhudi kumpa furaha, marafiki wasio mpenda wakamshawishi aache maisha yake na kuwa muasi. Wamesikitishwa sana na kumpoteza rafiki yao.
Pozi maarufu la rapper huyu likifananishwa na pozi analoweka sasa akiwa na silaha.
Picha hizi ni za Abdel wakati anafanya muziki wa rapper, ameva lebel tofauti kama addidas na yupo studio mbele ya Mic.
Mfungwa aliyetekwa na kundi la Abdel anasema alitekwa na vijana kutoka Uingereza wanaopigana vita vya jihad, wanajiita ‘The Beaatles’. Bary mwenye miaka 23, Abu hussain Al Britani ambaye ni mtalamu wa computer , Abu Abdullah al Britani.
Gazeti la the Sun linasema sauti za vijana hawa zinafanana kabisa na sauti zilizosikika kwenye video ya mauaji ya Mr Foley.
Marafiki wa Abdel wanasema jamaa anakipaji cha kufanya rap na kuwa msanii mkubwa duniani,familia yake inapesa na ilifanya kila juhudi kumpa furaha, marafiki wasio mpenda wakamshawishi aache maisha yake na kuwa muasi. Wamesikitishwa sana na kumpoteza rafiki yao.
Unamkumbuka yule jamaa aliemchinja Mwandishi wa habari wa Marekani basi unaambiwa imegundulika kuwa ni Msanii Maarufu duniani Msome hapa
Reviewed by Unknown
on
04:27:00
Rating: