SHABIKI AJINYOA MCHORO WA NICK MINAJ AKIWA MTUPU KAMA MAPENZI YA WIMBO WA ANACONDA
Huyu jamaa anastahili kuitwa Super Fan yani shabiki wa ukweli,
amechukua muda na wake kwa kinyozi na gharama za kumlipa ili amnyoe
nywele zake kwa style ya picha ya Nicki Minaj inayonekana kwenye cover
la wimbo wake ‘Anaconda’.
SHABIKI AJINYOA MCHORO WA NICK MINAJ AKIWA MTUPU KAMA MAPENZI YA WIMBO WA ANACONDA
Reviewed by Unknown
on
02:35:00
Rating: